Kira Kosarin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kira Kosarin kwenye Moroccan Lounge huko Los Angeles, California.

Kira Kosarin (amezaliwa 7 Oktoba 1997) ni mwigizaji, mwimbaji na dansa wa Marekani ambaye alichukua sehemu ya Phoebe kwenye mfululizo wa ThunderMan pia aliigiza kwenye One Craizy Cruise na Light as a Feather.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kira Kosarin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.