Nenda kwa yaliyomo

Kira Bousloff

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kira Abricossova Bousloff (19142001) alikuwa mnenguaji katika kikundi cha Ballets Russes aliyefanya ziara nchini Australia mnamo mwaka 1938 na kubaki huko. Baada ya kupeana talaka na mume wake wa kwanza, Serge Bousloff, aliolewa (na baadaye kupeana talaka) na James Penberthy, huku akiwa na mchango mkubwa katika mageuzi ya densi ya baleti huko Australia Magharibi. [1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kira Bousloff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Bousloff, Kira (1914-2001)". Iliwekwa mnamo 7 Juni 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)