Kipolci

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kipolci ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wapolci. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kipolci imehesabiwa kuwa watu 22,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipolci iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipolci kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.