Kiphende (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiphende ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waphende. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiphende imehesabiwa kuwa watu 420,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiphende iko katika kundi la K10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiphende (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.