Kipengo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipengo ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapengo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipengo imehesabiwa kuwa watu 350,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipengo iko katika kundi la Kigondi-Kui.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipengo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.