Kipamona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipamona (pia Kibaree) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapamona kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipamona imehesabiwa kuwa watu 137,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipamona iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipamona kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.