Kiosing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiosing (pia Kibanyuwangi) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waosing kwenye kisiwa cha Java. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiosing imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiosing iko katika kundi la Kijava.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiosing kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.