Kioneshatariki

Kioneshatariki cha nyumbani.
Katika utarakilishi, kioneshatariki (kwa Kiingereza: router device) ni kifaa cha mtandao kinachotumika ili kutuma vifurushi data kati ya tarakilishi mbalimbali. Kwa mfano, kurasa za mtandao na barua pepe zinatumwa kwa ajili ya vifurushi data.[1][2]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).