Kiondo
Mandhari

Kiondo ni mkoba uliosukwa kwa mkono kwa kutumia kamba za mimea na kurembwa kwa ngozi. Ni wa asili ya makabila ya Wataita, Wakikuyu na Wakamba nchini Kenya.
Jina la Kiswahili la kiondo ni 'chondo,' wingi 'vyondo'.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiondo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |