Kiomi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiomi (lugha))

Kiomi ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waomi. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiomi imehesabiwa kuwa watu 91,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiomi iko katika kundi la Kimoru-Madi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiomi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.