Kiolwa cha angani
| |||||||
Mifano ya violwa vya angani |
Kiolwa cha angani (pia: gimba la angani, ing. astronomical object au celestial body) ni jina kwa ajili ya vitu vinayopatikana katika anga ya ulimwengu.
Kati ya vitu hivi huhesabiwa:
- Jua
- Sayari
- Sayari kibete
- Miezi
- Vimondo (pia meteori au meteroidi)
- Asteroidi
- Nyotamkia
- Nyota
- Galaksi
- Nebula
- Mawingu katika anga
Haya yote ni violwa asilia. Vitu angani vilivyotengenezwa na binadamu ni vyombo vya angani ingawa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombyo vya angani vilivyovunjika au takataka kutokana na safari za angani yanastahili kuitwa kwa neno hili.
Elimu ya violwa vya angani ni astronomia.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiolwa cha angani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |