Kinyang'i

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kinyang'i ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Wanyangia. Mwaka wa 2002 idadi ya Wanyangia imehesabiwa kuwa watu 15,282 lakini wengi huzungumza Kikaramojong sasa. Haijulikani kama bado kuna wasemaji wa asili wa Kinyang'i. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyang'i iko katika kundi la Kikuliak ambalo ni tofauti sana na lugha nyingine za Kinilo-Sahara.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyang'i kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.