Kinyam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kinyam ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wanyam. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyam imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyam iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.