Nenda kwa yaliyomo

Kinume

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinume ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wanume kwenye kisiwa cha Gaua. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinume imehesabiwa kuwa watu 900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinume iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinume kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.