Kinugunu (Kamerun)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinugunu ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wanugunu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kinugunu imehesabiwa kuwa watu 35,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinugunu iko katika kundi la A60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinugunu (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.