Uwanja wa michezo wa Kintele Aquatic Complex

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kintele Aquatic Complex)

Uwanja wa michezo wa majini Kintele ni uwanja wa michezo uliopo nchini Congo unaotumika kwa ajili ya mashindano na michezo ya kuogelea.Ni uwanja uliowahi kuandaa mashindano ya kuogelea ya Afrika kwa mwaka 2015.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Good performances at the 2015 African Games. FINA (2015-09-20). Retrieved 2019-08-19.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kintele Aquatic Complex kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.