Kinghuki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinghuki (pia Kinǀuu au Kinǁng) ni lugha ya Khoisan nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wanghuki. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kinghuki imehesabiwa kuwa watu 12 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinghuki kiko katika kundi la Kituu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinghuki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.