Kingayawung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingayawung kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wangayawung katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kingayawung, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingayawung kiko katika kundi la Lower Murray.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingayawung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.