King Sunny Adé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

King Sunny Adé
King Sunny Adé
Amezaliwa22 Septemba 1946
Ondo
Majina mengineSunday Adeniyi
Kazi yakemwanamuziki wa Nigeria


King Sunny Adé (amezaliwa 22 Septemba 1946) ni mwanamuziki wa Nigeria. Jina lake la kuzaliwa ni Sunday Adeniyi. Alizaliwa huko Ondo. Alikuwa anapiga muziki wa Juju.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu King Sunny Adé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.