Nenda kwa yaliyomo

King Monada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Khutso Steven Kgatle, anaetambulika kwa jina maarufu la King Monada, ni mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo, na mtayarishaji wa rekodi kutoka nchini Afrika Kusini.[1] Alipata umaarufu mkubwa baada ya kutoa wimbo wake wa 2016 uliokwenda kwa jina la Ska Bhora Moreki na Malwedhe (2018), ambao uliongoza na kushika #9 Chati ya iTunes na #54 Chati ya Muziki ya Apple. [2] Anajulikana kwa kuimba katika lugha ya Khelobedu,[3] ambazo ni lahaja za Kisotho cha Kaskazini.[4]


Maisha na Kazi[hariri | hariri chanzo]

Khutso Steven Kgatle, alizaliwa huko Ga-Lekhotho, Tzaneen mjini Limpopo. Monada ana kaka wawili na ndugu wengine wawili. Alisoma katika Shule ya Msingi ya Sebone na Shule ya Upili ya Magoza na aliacha darasa la 8 ili kuendeleza taaluma yake ya muziki. Mnamo tarehe 9 Novemba 2018, Malwedhe alitolewa na kupigiwa kura #2 kwenye Wimbo Bora wa Mwaka wa Ukhozi FM.[5]Monada sasa yuko kwenye chati baada ya kutolewa kwa nyimbo yake iitwayo «ex yaka» mnamo Septemba 30, 2021. Dzena mo pia ilimuweka Monada kwenye ramani kutoka Novemba 30, 2020.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Ameona na Lerato Ramawela na Cynthia Nthebatse Leon.[1][6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Kinuthia, Peter (30 Januari 2020). "Here is all about King Monada: The king of Bolobedu music". briefly.co.za.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Malwedhe - King Monada". top-charts.com. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "King Monada gets people moving on the dance floor". SowetanLIVE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-11-16.
  4. "King Monada Ex Yaka". Afrobeatza (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-02. Iliwekwa mnamo 2021-09-30.
  5. "5 Essential Bolobedu House Tracks to Check Out If You Love 'Jerusalema' by Master KG". okayafricasite.
  6. "Second queen joins Monada's castle". SowetanLIVE.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu King Monada kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.