Kindombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kindombe (lugha))

Kindombe ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wandombe. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kindombe imehesabiwa kuwa watu 22,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindombe iko katika kundi la R10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindombe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.