Kinar-Phu
Kinar-Phu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wanar na Waphu. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kinar-Phu imehesabiwa kuwa watu 600, yaani Wanar 400 na Waphu 200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinar-Phu iko katika kundi la Kibodish.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kinar-Phu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinar-Phu
- lugha ya Kinar-Phu katika Glottolog
- lugha ya Kinar-Phu kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinar-Phu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |