Kinande (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinande ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wanande. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kinande imehesabiwa kuwa watu 903,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinande iko katika kundi la J40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinande (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.