Kinamakura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinamakura ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wanamakura kwenye visiwa vya Efate, Emwae, Tongoa ma Tongariki. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinamakura imehesabiwa kuwa watu 3750. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinamakura iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinamakura kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.