Kinaha'ai
Mandhari
Kinaha'ai (pia Kimalfaxal) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wanaha'ai kwenye kisiwa cha Malekula. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kinaha'ai imehesabiwa kuwa watu 600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinaha'ai iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinaha'ai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinaha'ai Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kinaha'ai katika Glottolog
- lugha ya Kinaha'ai kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinaha'ai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |