Kimadhi-Madhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimuthimuthi)

Kimadhi-Madhi (au Kimuthimuthi) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamadhi-Madhi katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimadhi-Madhi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimadhi-Madhi kiko katika kundi la Kikulin.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimadhi-Madhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.