Kiabar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimungbam)

Kiabar (au Kimungbam) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waabar. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiabar imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabar iko katika kundi la Kibeboidi ambalo lugha zake hufanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiabar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.