Kimoloko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimoloko ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamoloko. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kimoloko imehesabiwa kuwa watu 8500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoloko iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimoloko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.