Kimigaama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimigaama ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wamigaama. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimigaama imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimigaama iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimigaama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.