Kimiao cha Maua Makubwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimiao ya Maua Makubwa)

Kimiao ya Maua Makubwa (pia Kia-Hmao) ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimiao ya Maua Makubwa imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimiao ya Maua Makubwa iko katika kundi la Kihmongiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimiao cha Maua Makubwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.