Nenda kwa yaliyomo

Kimewari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimewari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamewari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimewari imehesabiwa kuwa watu 5,100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimewari iko katika kundi la Kiaryan. Wataalamu wengine huiangalia kama lahaja ya Kimarwari.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimewari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.