Kimengisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimengisa ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamengisa. Mwaka wa 1979 idadi ya wasemaji wa Kimengisa imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimengisa iko katika kundi la A70.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimengisa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.