Kimbum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimbum (lugha))

Kimbum ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wambum. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimbum nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 38,600. Pia kuna wasemaji 12,500 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbum iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.