Kimbo'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimbo' (pia Kimbe) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wambo'. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimbo' imehesabiwa kuwa watu 1490. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbo' iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbo' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.