Kimbay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbay ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wambay. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kimbay nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 80,000. Pia kuna wasemaji 8300 nchini Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbay iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.