Nenda kwa yaliyomo

Kimbalanhu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbalanhu ni lugha ya Kibantu nchini Namibia inayozungumzwa na Wambalanhu. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimbalanhu imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbalanhu iko katika kundi la R20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbalanhu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.