Kimansoanka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimansoanka (pia Kikunante au Kisua) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea-Bisau na Gambia inayozungumzwa na Wamansoanka. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimansoanka nchini Guinea-Bisau imehesabiwa kuwa watu 15,500. Pia kuna wasemaji 1600 nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimansoanka iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimansoanka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.