Kimaninkakan-Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimaninkakan-Magharibi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal, Mali na Gambia inayozungumzwa na Wamalinke. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimaninkakan-Magharibi nchini Senegal imehesabiwa kuwa watu 422,000. Pia kuna wasemaji 100,000 nchini Mali na 3300 nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaninkakan-Magharibi iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaninkakan-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.