Kimangareva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimangareva ni lugha ya Kiaustronesia nchini Polinesia ya Kifaransa inayozungumzwa na Wamangareva. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kimangareva imehesabiwa kuwa watu 600. Wamangareva wengi wanatumia lugha ya Kitahiti badala ya lugha yao ya asili, yaani lugha ya Kimangareva iko hatarini mwa kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimangareva iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimangareva kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.