Kimandar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimandar (pia Kiandian) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamandar kwenye visiwa vya Sulawesi na Pabbring. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimandar imehesabiwa kuwa watu 475,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimandar iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimandar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.