Kimalimba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimalimba ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamalimba. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimalimba imehesabiwa kuwa watu 2230. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimalimba iko katika kundi la A20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalimba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.