Kimagar-Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimagar ya Mashariki)

Kimagar ya Mashariki ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wamagar. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimagar ya Mashariki nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 462,000. Pia kuna wasemaji 71,700 nchini Uhindi (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimagar ya Mashariki iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimagar-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.