Kimabaale (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimabaale ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamabaale. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimabaale imehesabiwa kuwa watu 42,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimabaale iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimabaale (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.