Kim McLean
Mandhari
Kim McLean (alizaliwa 1 Aprili, 1961, awali alijulikana kama Kim Patton au Kim Patton-Johnston) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo asili yake ikiwa Greensboro, North Carolina.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kim McLean's Songwriter Prayer". Septemba 8, 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 19, 2006. Iliwekwa mnamo Agosti 29, 2010.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kim McLean kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |