Kim Kardashian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kim Kardashian akiwa White House mnamo 2020
Kim Kardashian akiwa White House mnamo 2020

Kimberly Noel Kardashian West[1][2] (alizaliwa Oktoba 21, 1980) ni mwanamitindo, na mfanyabiashara wa Kimarekani. [3].Alipata umaarufu kwa vyombo vya habari kwa mara ya kwanza kama rafiki na mwanamitindo wa Paris Hilton, lakini alipata taarifa zaidi baada ya kanda ya ngono ya Kim Kardashian, Superstar, iliyopigwa mwaka 2002 na mpenzi wake huo Ray J, mwaka wa 2007.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kim Kardashian Reveals She's Taking Kanye West's Last Name (October 28, 2013).
  2. Growing Up Kardashian: Kim Kardashian. E! Online (June 9, 2020). “'Happy Birthday Kimberly Noel Kardashian West! I love you forever,' Kourtney captioned this throwback post shared to Instagram in honor of her sister's 39th b-day.”
  3. Kardashian to profit from sex tape (en). United Press International (May 1, 2007).
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kim Kardashian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.