Kim Il-Sung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha ya Kim Il Sung

Kim Il-Sung (jina maana alikuwa jua; 15 Mei 1912 - 8 Julai 1994 [1] alikuwa kiongozi wa kwanza wa Korea Kaskazini kutoka mwaka 1948 mpaka alipokufa kwa ugonjwa wa moyo.

Wakorea kaskazini bado wanamuita kiongozi wa nje. Kuna zaidi ya wasifu 300 wa Kim Il-sung katika Korea Kaskazini.

Kim Il-Sung aliazishwa mawazo ya chama Juche. Aliongoza Korea Kaskazini tofauti na Muungano wa Kisovyeti na China.

Alikufa na mwanae wa kiume Kim Jong-il (1941-2011) alikuwa kiongozi wa Korea Kaskazini mpaka alipokufa tarehe 17 Desemba 2011.

Hapo alikuwa mjukuu Kim Jong-un (alizaliwa 1983) ni kiongozi wa Korea, na kaka yake, Kim Yong-ju (alizaliwa 1920), alikuwa serikalini rasmi.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kim Il-Sung kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.