Kiluo (Kenya-Tanzania)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiluo (lugha ya Tanzania))

Kiluo (au Kijaluo) ni lugha mojawapo ya Kiniloti inayozungumzwa na Waluo nchini Kenya na pia Tanzania. Jumla ya wasemaji ni zaidi ya milioni 4.4. Hivyo inaongoza kati ya lugha za Kinilo-Sahara.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Capen, Carole Jamieson. 1998. Bilingual Dholuo-English dictionary, Kenya. Tucson (Arizona): self-published. Kurasa ix, 322. [ISBN 0-966688-10-4] https://www.webonary.org/dholuo/
  • Gregersen, Edgar. 1961. Luo: a grammar. PhD thesis. Yale University at Harvard. Kurasa 166.
  • Odaga, Asenath Bole (1997). English-Dholuo dictionary. Lake Publishers & Enterprises, Kisumu. [ISBN 9966-48-781-6].

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluo (Kenya-Tanzania) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.