Kilong-Wat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kilong-Wat ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Walong-Wat. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kilong-Wat imehesabiwa kuwa watu 600 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilong-Wat iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilong-Wat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.