Kilenyima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilenyima ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walenyima. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kilenyima imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilenyima iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilenyima kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.