Kilamaholot
Mandhari
Kilamaholot (pia Kisolor) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walamaholot kwenye kisiwa cha Flores, Alor, Solor na vinginevyo vya jirani. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kilamaholot imehesabiwa kuwa watu 180,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamaholot iko katika kundi la Kibima-Lembata.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilamaholot kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilamaholot Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilamaholot katika Glottolog
- lugha ya Kilamaholot kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilamaholot kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |